Posts

KUANZA NA UKUAJI WA BRAND

Image
    ASILI YA BRAND      Kipindi ambacho nilikuwa mwaka wa kwanza chuo, nilijitengenezea jina la kuwa mtu anayejulikana kama "Game Optimizer" yaani anakuja mtu na simu au kompyuta yake na ninaifanya inacheza games. Ila pia kwa kuwa ni mbobezi wa maswala ya IT nilifanya Maintenace hususani kwenye upande wa kompyuta na simu(software tu!) na kutoa ushauri pamoja na nasaha juu ya mambo hayo     Usiku mmoja, nilikuwa naongea na mtu kuhusu maswala nayofanya na badala yake akanifungua macho juu ya kitu kinaitwa "Branding" na mwengine alinishauri zaidi juu ya "Online Presence"     Tangia siku hiyo, maono yangu juu ya ndoto nilizonazo hazikubadilika, badala yake ziliboreshwa.      Branding ni kitendo cha mtu binafsi kujitangaza kama chapa, wakiangazia sifa zao za kipekee ili kujitokeza katika nyanga zao. Kwa kuzingatia hivyo nikaamua kutengeneza logo yangu ambayo imekaa kipekee. Brand inaitwa MUHAMAD KASSIM: GAME OPTIMIZING AND MAINTENAN...